Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,511
kuna watu umeambiwa hapo juu ukasema si type yako ndo nikasema kumbe kunavigezo unavyo!hiyo issue ya interview umeitolea wapi mkuu............!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna watu umeambiwa hapo juu ukasema si type yako ndo nikasema kumbe kunavigezo unavyo!hiyo issue ya interview umeitolea wapi mkuu............!
cheusi acha utundu...........!
mabachelor wa jf bwana mnaniachaga hoi.hivi kwani ukiandika tu jamani eeh natafuta mwenza niko single kitaharibika nini.
haya father check inbox yako labda naweza kusaidia kugawa hizo zawadi.
Hivi wewe Cheusimangala hiyo avatar yako mimi inanimaliza???? hivi wewe ndo upo hivyo live??? koz huo mgongo mie hoi....dah...
Hivi wewe Cheusimangala hiyo avatar yako mimi inanimaliza???? hivi wewe ndo upo hivyo live??? koz huo mgongo mie hoi....dah...