UMULKHEIR
Member
- Nov 27, 2013
- 6
- 0
Natafuta mtaji wa biashara ili niweze kujiajiri.nafanya kazi ya kuuza duka na vocha za jumla pia natoa huduma za mpesa na tpesa.nimefanya kazi muda mrefu lkn sina cha maana nilichofanya kutokana na mshahara ninaopata.natamani kujiajiri lkn sina pesa,matarajio yangu ni kufungua biashara ya mpesa,tigopesa,aiter money na vocha za jumla kwa uzoefu wangu ndani ya mwezi siwezi kukosa faida sh laki 6,na faida nitakayopata naweza nunua photo printer kwa ajili ya passportsize naweza kupiga na kuprint nayo inafaida pia.aliyetayari kunisaidia tuwasiliane