Natafuta msaidizi wa kazi mwenye hadhi ya kuwa mke

Natafuta msaidizi wa kazi mwenye hadhi ya kuwa mke

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
2,236
Reaction score
2,142
Wadau,

Niko kwenye mchakato wa kudivorce na nimehamishiwa hapa Dar kikazi, natafuta msaidizi wa kazi za nyumbani aliye makini ambaye anaweza akasaidia pia kazi anazofanya mke akiwa nyumbani.

Naomba watu walio serious tu.Kuhusu malipo tutaelewana kutegemeana na uzoefu, muonekano na uwezo.

Maombi yatakayoshughulikiwa haraka ni yale yatakayoambatanishwa na picha. Siyo lazima kutuma CV bali ni maelezo kwa ufupi na picha vinatosha.

Watakaowahi ndiyo watakao shughulikiwa kwanza

Email ya kutuma maombi ni ngongoti2000@gmail.com

Karibuni Sana
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Tafadhali mkuu ufafanuzi hapo umesema "msaidizi wa kazi za nyumbani ambaye anaweza akasaidia pia kazi anazofanya mke akiwa nyumbani" hizo kazi za mke akiwa nyumbani ni zipi
 
Tafadhali mkuu ufafanuzi hapo umesema "msaidizi wa kazi za nyumbani ambaye anaweza akasaidia pia kazi anazofanya mke akiwa nyumbani" hizo kazi za mke akiwa nyumbani ni zipi

Mbona iko wazi ,Msaidizi wa kazi ambaye kama atafaa anaweza akawa mke hapo baadaye
 
"Mwenye hadhi ya kuwa mke" manake nini
 
kuna option ya kulala hapohapo na pia part time ( saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni)kulingana na tutakavyokubaliana....
mi nipo free anzia saa kumi na moja mkuu hadi asubuhi nitalala hapo pia hakuna shida.unalipa anzia sh ngapi?
 
Tafadhali mkuu ufafanuzi hapo umesema "msaidizi wa kazi za nyumbani ambaye anaweza akasaidia pia kazi anazofanya mke akiwa nyumbani" hizo kazi za mke akiwa nyumbani ni zipi
Ataka yote huyu!! Ataka msaidizi wa kazi, hapo hapo ataka mke. Aaamue moja, mke au msaidizi wa kazi???
 
Back
Top Bottom