Habari wadau.
Natafta mshauri mwelekezi wa uvuvi wa bahari kuu. Awe na ujuzi wa kutosha, weledi na muwajibikaji. Uzoefu wa angalau miezi 6 sita katika tasnia ya uvuvi.
Malipo ni makubaliano.
Karibu inbox kwa mazungumzo zaidi au kama unamfahamu mtaalamu basi pia naomba mawasiliano inbox.
Asante.