Natafuta mshauri mwelekezi wa uvuvi wa bahari kuu

MR UNINFORMED

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,069
Reaction score
1,209
Habari wadau.

Natafta mshauri mwelekezi wa uvuvi wa bahari kuu. Awe na ujuzi wa kutosha, weledi na muwajibikaji. Uzoefu wa angalau miezi 6 sita katika tasnia ya uvuvi.

Malipo ni makubaliano.

Karibu inbox kwa mazungumzo zaidi au kama unamfahamu mtaalamu basi pia naomba mawasiliano inbox.

Asante.
 
Mkuu dadavua vizur unataka wenye level gani?na je unahitaji wale waliosomea chuo Kama mbegani au unataka wale wenye uzoefu tu ambao walizaliwa pembezoni mwa bahari Kama kule tanga,unguja,pemba?
 
Asante sana.

Wakati mwingine uzoefu ni bora zaidi kuliko madaftari. So kama yupo mjuzi anayeyajua maji bahari kuu amepata kufanya kazi basi...tukutane inbox tuyajenge.
 
Back
Top Bottom