Bucherman-mkata nyamaButchery= ni biashara ya kukatakata nyama na kuiuza
Butcher = ni mtu anayefanya hiyo biashara.
hivyo basi, wewe umesema kwenye kichwa cha habari ' Natafuta partiner wa biashara ya butcher" , kwa hiyo utakuwa unafanya biashara ya watu wanaouza nyama? kwasababu butcher ni mtu, ila butchery ndio either eneo la kufanyia hiyo shughuli, au ndio shughuli yenyewe ya kuuza nyama.
haya tuambie sasa, unatafuta partiner wa kufanay biashara ya nini? sema kwa nguvu watu wote wakusikie!
kubali kufunzwa ili ubadilike. kwa akili yako kama nisingekubadilisha ungeandika bango la ajabu sana kwenye hiyo bucha yako. nimekutoa matongotongo ulitakiwa kushukuru pusi we.
hahaha, kuna nini mkuu.Tukutowe na wewe hayo matongotongo hakuna neno "bucha" katika lugha ya kiswahili.