Natafuta mshirika(partner) wa biashara ya bucha

Natafuta mshirika(partner) wa biashara ya bucha

Uko mbali mkuu, la sivyo tungeshikamana kwenye hilo
 
Ndugu uliyeuliza "projected returns zikoje" swali zuri la kiufundi (technical). Niseme tu hii ni biashara ndogo ya kiujasiriamali (siyo kampuni) kiasi cha kuweka hapa JF detailed Start Up Business Plan au Projected Plans ambayo ita-reflect Projected Returns. Ila kama uko serious kuingia ubia tuonane nikueleze ana kwa ana. Pia kuhusu mtaji nimetafiti bei ya vitendea kazi kama mizani, jokofu, machine (kisu) cha kukatia nyama wall tiles, milango na madirisha ya vioo na matofali ya kibanda kidogo (sehemu ya fence) hii ni makadirio tu.Nawashukuruni kwa michango yenu. karibuni.
 
Butchery= ni biashara ya kukatakata nyama na kuiuza
Butcher = ni mtu anayefanya hiyo biashara.

hivyo basi, wewe umesema kwenye kichwa cha habari ' Natafuta partiner wa biashara ya butcher" , kwa hiyo utakuwa unafanya biashara ya watu wanaouza nyama? kwasababu butcher ni mtu, ila butchery ndio either eneo la kufanyia hiyo shughuli, au ndio shughuli yenyewe ya kuuza nyama.

haya tuambie sasa, unatafuta partiner wa kufanay biashara ya nini? sema kwa nguvu watu wote wakusikie!
Bucherman-mkata nyama
 
kubali kufunzwa ili ubadilike. kwa akili yako kama nisingekubadilisha ungeandika bango la ajabu sana kwenye hiyo bucha yako. nimekutoa matongotongo ulitakiwa kushukuru pusi we.

Tukutowe na wewe hayo matongotongo hakuna neno "bucha" katika lugha ya kiswahili.
 
Kila la heri mkuu, Mungu akusimamie kwenye nia yako uifanikishe
 
Back
Top Bottom