Natafuta mshirika partner wa kufanya nae biashara

Duuuu!

Ungekuwa dsm tungeweza zungumza. Hata hivyo mtaji wako bado mdogo sana. Walau kuanzia 3mln inazungumzika kiasi.
 
Una mawazo mazuri chief, ila naomba nikushauri anza kufanya biashara mwenyewe kabla ya kutafuta partner...

Usiwe na uoga wa kirahi hivyo....fanya biashara uone utaendaje, yamkini ukiwa peke yako utafanikiwa zaidi kuliko kuwa na partner...

Na ukianza kufanya utakuwa unajua unahitaji partner wa aina gani atakae kidhi mawazo yako na mkaelewana vizuri,

So far kuwa na partner ni vizuri maana penye wawili hapashindikani kitu.

Kila la kheri chief, karibu ktk ulimwengu wa biashara.
Biashara sio kila mtu anaelewa mbali ya kufanya.

Kajipima kaona anahitaji partner. Very nice! Hata hivyo changamoto ya business za siku hizi ni partners wenyewe, pasua kichwa!
 
Una mawazo mazuri chief, ila naomba nikushauri anza kufanya biashara mwenyewe kabla ya kutafuta partner...

Usiwe na uoga wa kirahi hivyo....fanya biashara uone utaendaje, yamkini ukiwa peke yako utafanikiwa zaidi kuliko kuwa na partner...

Na ukianza kufanya utakuwa unajua unahitaji partner wa aina gani atakae kidhi mawazo yako na mkaelewana vizuri,

So far kuwa na partner ni vizuri maana penye wawili hapashindikani kitu.

Kila la kheri chief, karibu ktk ulimwengu wa biashara.
Very thanks Mr Miller kwa ushauri wako
Ni kweli ukiwa pekee unakiwa huru katika kuamua mambo japo changamoto napo zipo
Be blessed Mr.
 
Diamond karanga inalipa? Location karatu maana uku azijagika kabisa.

Kingine biashara ya kuuza popcorn na changamoto zake.Naomba msaada.
 
Back
Top Bottom