JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
Am interested. Tuwasiliane dm
Mimi nipo Mbezi Luis.Nimeipenda hii idea, upo Dar maeneo gani?.
Poa, nimekuja PM.Mimi nipo Mbezi Luis.
Sawa inawezekana tuwasiliane.Mimi nataka unifundishe nitengeneze huku kwetu tambukareli
TuwasilianeHabari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi.
Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana nao, ikiwezekana Mtu Mwenyeji au aliye na wenyeji maana mimi sio Mwenyeji sana hapa Dar.
Ninaamini kukiwa na uzalishaji mzuri soko lipo maana Dar ina wakazi wengi...nimeshaanza uzalishaji mdogo mdogo, hivyo Mshirika akisaidia kupata eneo kwa ajili ya kuzalisha na kuanika kwa wingi itakuwa jambo jema.
Ok,Tuwasiliane
Briquette, ni nzuri sana, Kwa Arusha zinalipa sana kwa sababu Mahoteli ya Kitalii yalioko polini hawaruhusiwa kutumia kitu inaitwa mkaaa au kuni, hivyo wanatumia huu mkaaa mbadala,Habari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi.
Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana nao, ikiwezekana Mtu Mwenyeji au aliye na wenyeji maana mimi sio Mwenyeji sana hapa Dar.
Ninaamini kukiwa na uzalishaji mzuri soko lipo maana Dar ina wakazi wengi...nimeshaanza uzalishaji mdogo mdogo, hivyo Mshirika akisaidia kupata eneo kwa ajili ya kuzalisha na kuanika kwa wingi itakuwa jambo jema.
Changamoto kubwa ni kupatikana kwa huo mkaa halisi kwa urahisi.Mkaa ni mzuri sana sema mwamko wa raia kuutumia uko chini sana
Hata Dar sema changamoto itakuwa kwenye bei, inabidi iwe chini ya Mkaa wa kawaida maana bado inapatikana kwa bei nafuu.Briquette, ni nzuri sana, Kwa Arusha zinalipa sana kwa sababu Mahoteli ya Kitalii yalioko polini hawaruhusiwa kutumia kitu inaitwa mkaaa au kuni, hivyo wanatumia huu mkaaa mbadala,
ndugu, nina wazo rahisi la kuondoa maji ya chumvi(sio ya bahari ni kisima) kuwa mazuri ya kunywa na matumizi mingine. Concept imebase kwenye distillation na condensation.Tuwasiliane
Tuwasiliane piandugu, nina wazo rahisi la kuondoa maji ya chumvi(sio ya bahari ni kisima) kuwa mazuri ya kunywa na matumizi mingine. Concept imebase kwenye distillation na condensation.
Hakuna huruma na still watu wanaomba mvua, misitu isha teketea sana na hakuna anaye hali kuanzia mkuu wa ncni hadi mtu wa chiniChangamoto kubwa ni kupatikana kwa huo mkaa halisi kwa urahisi.
Nikipita pita karibu kila kona kuna Magunia ya Mkaa.
Kama Watu wangekuwa wanahurumia Misitu ingekuwa nafuu sana.