Natafuta mshirika wa kuzalisha mkaa mbadala

Natafuta mshirika wa kuzalisha mkaa mbadala

Changamoto kubwa ni kupatikana kwa huo mkaa halisi kwa urahisi.

Nikipita pita karibu kila kona kuna Magunia ya Mkaa.

Kama Watu wangekuwa wanahurumia Misitu ingekuwa nafuu sana.
Na ndio changamoto hio, bado mkaaa wa kawaida ni mwingi sana sokoni, hivyo kufanya soko la mkaaa mbadala kuwa gumu sana.
 
Back
Top Bottom