CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Oct 14, 2022 #21 JOTO LA MOTO said: Changamoto kubwa ni kupatikana kwa huo mkaa halisi kwa urahisi. Nikipita pita karibu kila kona kuna Magunia ya Mkaa. Kama Watu wangekuwa wanahurumia Misitu ingekuwa nafuu sana. Click to expand... Na ndio changamoto hio, bado mkaaa wa kawaida ni mwingi sana sokoni, hivyo kufanya soko la mkaaa mbadala kuwa gumu sana.
JOTO LA MOTO said: Changamoto kubwa ni kupatikana kwa huo mkaa halisi kwa urahisi. Nikipita pita karibu kila kona kuna Magunia ya Mkaa. Kama Watu wangekuwa wanahurumia Misitu ingekuwa nafuu sana. Click to expand... Na ndio changamoto hio, bado mkaaa wa kawaida ni mwingi sana sokoni, hivyo kufanya soko la mkaaa mbadala kuwa gumu sana.
version001 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 841 Reaction score 2,004 Oct 14, 2022 #22 Jeong do jeon said: ndugu, nina wazo rahisi la kuondoa maji ya chumvi(sio ya bahari ni kisima) kuwa mazuri ya kunywa na matumizi mingine. Concept imebase kwenye distillation na condensation. Click to expand... Does the cost of Energy input for distillation and condensation still make the project viable?
Jeong do jeon said: ndugu, nina wazo rahisi la kuondoa maji ya chumvi(sio ya bahari ni kisima) kuwa mazuri ya kunywa na matumizi mingine. Concept imebase kwenye distillation na condensation. Click to expand... Does the cost of Energy input for distillation and condensation still make the project viable?
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,311 Reaction score 9,027 Oct 17, 2022 #23 kapangejr said: Does the cost of Energy input for distillation and condensation still make the project viable? Click to expand... Swali la msingi sana hili.
kapangejr said: Does the cost of Energy input for distillation and condensation still make the project viable? Click to expand... Swali la msingi sana hili.