Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Habari zenu great thinkers. Natafuta mshirika/washirika ambao tutafanya kazi kwa pamoja katika kutengeneza softwares zitakazotupa utajiri. Ukweli ni kwamba ajira zimekuwa ngumu lakini tuna wataalamu wengi mtaani wenye utaalamu wa kutosha.
Kwa sasa natafuta software developer(full stack) na mobile developer ili tuanze kazi.
Kwa ambao wapo interested wanicheki PM.
Kwa sasa natafuta software developer(full stack) na mobile developer ili tuanze kazi.
Kwa ambao wapo interested wanicheki PM.