Kiti Chema JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,793 Reaction score 1,961 Feb 20, 2021 #1 Natafuta msichana wa kuoa na kuanzisha familia naye umri wangu miaka29 Dini ni mkristo Kazi nimejiajiri sifa za msichaa nimtakaye umri kuanzia 19-26 dini lolote, awe na hofu ya mungu tu Nitashukuru kama atapatikana, karibu pm kwa maongezi zaidi,
Natafuta msichana wa kuoa na kuanzisha familia naye umri wangu miaka29 Dini ni mkristo Kazi nimejiajiri sifa za msichaa nimtakaye umri kuanzia 19-26 dini lolote, awe na hofu ya mungu tu Nitashukuru kama atapatikana, karibu pm kwa maongezi zaidi,
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Feb 20, 2021 #2 Kwa jina lako Kiti Chema hutokawia kumpata 🙂 alimradi uwe na nia njema 🙂