natafuta msichana mwenye maisha ya shida

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
mimini mtu mzima aged 50 natafuta msichana awe nweusi asiyejichubua na ambaae anahangaika na maisha ili awe mpenzi wangu,anaweza kuwa mtumishi au mjasiriamali au mbangaizaji ili tupeane raha.awe serious na asiwe feki yule anayehisi kushindwa maisha ntampa kipaumbele
 
Yaani shida za maisha ndo kigezo!!???? unataka utumie shida zake kwa ajili ya nini!!?
 
mimini mtu mzima aged 50 natafuta msichana awe nweusi asiyejichubua na ambaae anahangaika na maisha ili awe mpenzi wangu,anaweza kuwa mtumishi au mjasiriamali au mbangaizaji ili tupeane raha.awe serious na asiwe feki yule anayehisi kushindwa maisha ntampa kipaumbele

Kweli JF kisima cha burudani. Ngoja na mimi niingie chimbo nije na mpya anyways all the best mkuu
 
Unataka utumie shida zake kujinufaisha kingono
 
Mzee we ni noma! Lakini ngoja nitoke kwenye mada kidogo jina lako limenivunja ubavu
 
Ustarabu wako mdogo, miaka 50 bado hujaoa utakuwa na matatizo. Again kwa nini usitafute mtu wa rika lako mpaka utafute msichana mdogo tena mwenye shida ili umfanyeje? Halafu unataka aliye serious we mbona haupo serious, hilo ndo tatizo la wabongo wengi unataka mtu mwenye sifa ambazo we mwenyewe zimekushinda. Ngnja waje wamjini wakuchune wasepe huna mana.
 
Watu wa aina yako wanaitwa saddists. Ambao wanapenda kutumia mianya kufanya wenzao wanyonge. Hauna tofauti na mtu anaetafuta mchumba, mwenye hela apewe kipaumbele. Upendo haupaswi kutanguliwa na umaskini ama utajiri wa mtu, it is beyond that. Mtu anaetaka attention yangu ya mapenzi na kujitanguliza unyonge wake wa mali ama utajiri wake huwa hata simsikilizi.
 
mimini mtu mzima aged 50 natafuta msichana awe nweusi asiyejichubua na ambaae anahangaika na maisha ili awe mpenzi wangu,anaweza kuwa mtumishi au mjasiriamali au mbangaizaji ili tupeane raha.awe serious na asiwe feki yule anayehisi kushindwa maisha ntampa kipaumbele

fimboyaasali, shida maana yake nini? Je wewe huna hizo shida? Ni nani dunia hii asiye na shida?
Wewe ni tapeli uliye vaa ngozi ya kondoo.
Wewe ni mtu hatari na wa kuogopwa sana.
Stahili yako ni KUHASIWA ili tuone kama kweli una dhamira ya kisaidia wasiojiweza
 
Last edited by a moderator:
mimini mtu mzima aged 50 natafuta msichana awe nweusi asiyejichubua na ambaae anahangaika na maisha ili awe mpenzi wangu,anaweza kuwa mtumishi au mjasiriamali au mbangaizaji ili tupeane raha.awe serious na asiwe feki yule anayehisi kushindwa maisha ntampa kipaumbele
Mi sijiu hata nikuambie nini,anyway heri kukoswa mali kuliko hekima
 
Jamani, Fimbo ya asali katoa la moyoni.....
Tuwaache watakaovutiwa nae waende wakaponde raha!!!..

Mie naona yuko sahihi, basi tu watu humu ndani wameanza kumuandama kwa kujifanya wanaharakati....!!
Kuna watu wanashida mno kimaisha kiasi kwamba wako tayari kujiuza wapate pesa, mie ndio nadhani bwanamkubwa anawalenga!!!
 
tehe......tehee......... wikiend njema
 
Wewe kama sio boko haram basi ni aqwaida,au banyamulenge au CCM!
 
mimini mtu mzima aged 50 natafuta msichana awe nweusi asiyejichubua na ambaae anahangaika na maisha ili awe mpenzi wangu,anaweza kuwa mtumishi au mjasiriamali au mbangaizaji ili tupeane raha.awe serious na asiwe feki yule anayehisi kushindwa maisha ntampa kipaumbele

Shikamo "BABA" sasa umri wote huo kwanin utafute bint zako? Je hujaoa na kama mke mkiachana/alifariki kwanin usitafute mwenye umri wako? Kama leo kweli ni kusaidia kwanin awe msichana? Kama umejiskia kuwasaidia wasichana kwanin utake kufanya nao mapenz? Je utanishawish vip niamin kuwa wewe si mmoja kati ya watu wanaotumia umaskin au hali fulan ya mtu kuwanyanyasa kingono, Nashawishika kuamin kuwa kama ww ni muajiriwa bas wafanya kaz wa kike ushawamaliza na kama ni muajir basi wafanyakaz wa kike na wanaokuja kuomba kaz cha kwanza ni ngono, Pole
 
Kipaumbele cha kwanza cha wanawake wote wanaotafuta wanaume humu siku zote ni "awe na ajira." Maana yake nini hiyo kama sio kwamba wanawake hawataki shida? Jamaa ameenda moja kwa moja kwenye pointi kwamba demu aliyeshindwa maisha, ambae hataki shida tena, amtafute! Sasa mademu msijifanye kumpaka wakati hiyo ndio focus yenu ya kwanza, hamtaki shida, tukubali ukweli jamani.
 
Watu wa aina yako wanaitwa saddists. Ambao wanapenda kutumia mianya kufanya wenzao wanyonge. Hauna tofauti na mtu anaetafuta mchumba, mwenye hela apewe kipaumbele. Upendo haupaswi kutanguliwa na umaskini ama utajiri wa mtu, it is beyond that. Mtu anaetaka attention yangu ya mapenzi na kujitanguliza unyonge wake wa mali ama utajiri wake huwa hata simsikilizi.
pokea like 100
 
Back
Top Bottom