Kichancheda
Senior Member
- Oct 29, 2012
- 142
- 46
mbona ni easy kuwapata, nenda kwenye madanguro! hongera kwa kuwa streight foward!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimini mtu mzima aged 50 natafuta msichana awe nweusi asiyejichubua na ambaae anahangaika na maisha ili awe mpenzi wangu,anaweza kuwa mtumishi au mjasiriamali au mbangaizaji ili tupeane raha.awe serious na asiwe feki yule anayehisi kushindwa maisha ntampa kipaumbele

Tuwe wakweli.Watu wa aina yako wanaitwa saddists. Ambao wanapenda kutumia mianya kufanya wenzao wanyonge. Hauna tofauti na mtu anaetafuta mchumba, mwenye hela apewe kipaumbele. Upendo haupaswi kutanguliwa na umaskini ama utajiri wa mtu, it is beyond that. Mtu anaetaka attention yangu ya mapenzi na kujitanguliza unyonge wake wa mali ama utajiri wake huwa hata simsikilizi.
Tuwe wakweli.
Uki step out of a lambourghini unaonekana handsome .... money is everything, I mean everything.
I guess..... ila nikiulizwa binadamu ana miguu mingapi nitasema miwili ... ingawa wapo wenye mguu mmoja.Na kama kuna gari sijawahi kuipenda wala kuitamabi ni lambourghini. Hata sijaona cha mno kwa hiyo bei.
Well kama weqe unapenda mali, wenzio hatuko huko. Mali tumetafuta za kwetu na zimetutosha. Kuna mtu ana mali ila kichwa haina kitu. Starehe ya kuendesha vitz ni bora kama hiyo gari mtoto yako baba!
natafuta msichana awe mweusi asiyejichubua na ambae anahangaika na maisha
Jamani, Fimbo ya asali katoa la moyoni.....
Tuwaache watakaovutiwa nae waende wakaponde raha!!!..
Mie naona yuko sahihi, basi tu watu humu ndani wameanza kumuandama kwa kujifanya wanaharakati....!!
Kuna watu wanashida mno kimaisha kiasi kwamba wako tayari kujiuza wapate pesa, mie ndio nadhani bwanamkubwa anawalenga!!!
mimini mtu mzima aged 50 natafuta msichana awe nweusi asiyejichubua na ambaae anahangaika na maisha ili awe mpenzi wangu,anaweza kuwa mtumishi au mjasiriamali au mbangaizaji ili tupeane raha.awe serious na asiwe feki yule anayehisi kushindwa maisha ntampa kipaumbele
nakuunga mkono na miguu. kila mtu na vigezo vyake vya kuwa na mtu. haramu kwako, halali kwa mwenzako.