natafuta msichana mwenye maisha ya shida

mbona ni easy kuwapata, nenda kwenye madanguro! hongera kwa kuwa streight foward!
 

wasikuone kwa maneno kwani umejieleza vzuri kwamba unatafuta msichana anayehangaika na maisha na mwenye shda kam mtu anaona han sifa hizo si awaachie wenye sifa zao wachangamkie tenda.
 
Mie ninashida... Nahitaji jumba la gorofa la kifahari na gari aina ya hummer..!! Nitaku PM..
 

Nilidhan Maji Marefu kahamia kwenye siasa kumbe bado anaendeleza kipaji?mwambie afanye editing ya hayo masharti yake,kudadadeki!!
 
ni PM nikupe msichana nimempata kama uko serious kweli
 
ni PM nikupe msichana nimempata kama uko serious kweli,alikuwa jambazi sana ameangaika huku na huku ajawahi kufanikisha lengo la ujambazi kujipatia fedha haraka,alikamatwa mwaka 2003 kwa kosa la ujambazi na kumiliki SmG,alihukumiwa jela miaka 10 ndo ametoka tarehe 29 mwezi wa10 mwaka huu,yupo tu mtaani kwetu ni rafiki yangu sana anatafuta bwana mana amehangaika sana,mkuu fimboyasali ni PM nikupe namba zake
 
Tuwe wakweli.
Uki step out of a lambourghini unaonekana handsome .... money is everything, I mean everything.
 
Na kama kuna gari sijawahi kuipenda wala kuitamabi ni lambourghini. Hata sijaona cha mno kwa hiyo bei.

Well kama weqe unapenda mali, wenzio hatuko huko. Mali tumetafuta za kwetu na zimetutosha. Kuna mtu ana mali ila kichwa haina kitu. Starehe ya kuendesha vitz ni bora kama hiyo gari mtoto yako baba!
Tuwe wakweli.
Uki step out of a lambourghini unaonekana handsome .... money is everything, I mean everything.
 
I guess..... ila nikiulizwa binadamu ana miguu mingapi nitasema miwili ... ingawa wapo wenye mguu mmoja.

I know money gets you p~$$y, a lot of p~$$y!!! ndiyo maana mkuu kaamua awe mkweli.
 
Awe na shida za maisha ili baadae umnyanyase...duuh dunia hii.
 

nakuunga mkono na miguu. kila mtu na vigezo vyake vya kuwa na mtu. haramu kwako, halali kwa mwenzako.
 

We mzee utampa starehe gani binti wa miaka 30-35 akikukubali zaidi ya kumpotezea stimu tu????

Hata hivyo kila la kheri katika mawindo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…