jembe_jembe
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 214
- 81
Mkuu mtu mzm vp utaitaj au ndo watoto kunamtu mzm hapa home anaitajNatafuta msichana wa kazi za ndani wa kukaa na mama yangu. Awe mtu mzima mwenye uwezo mzuri wa kazi. Awe tayari kulala nyumbani ninapoishi na siyo wa kwenda na kurudi.
Awe na stamina ya kudumu kwenye kazi na siyo mbabaishaji.
Mshahara Tshs 80,000 /- akifanya vizuri naweza kumwongeza baada ya muda.
Majukumu :-
1. Kupika
2. Kuosha vyombo
3. Kufua
4. Kufanya usafi wa ndani.
Mawasiliano: 0719 203 118 au njoo chamber kwa maswali zaidi.
Uko mkoa gani
Siyo Kila Kiuzwacho Sokoni Chafaa Kununuliwa
Anakula kunywa kulala na kukaa bure, akiumwa namtibia pia.Dah, ila tuwe fair sometimes. Mtu akae kwako full time, kupiga hizo job then una mpa 80k?
Wakati waajiliwa wakizidisha masaaa mawili tu kazini, kelele nyingi, na kudai over time.
Kwa nia njema tu wazee tuweni fair kwa hawa wenzetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba niunganishe nayeMkuu mtu mzm vp utaitaj au ndo watoto kunamtu mzm hapa home anaitaj
from mudi kidato
Ni sahihi kaka, wasiwasi wangu nijue umeoa au bado...?Anakula kunywa kulala na kukaa bure, akiumwa namtibia pia.
Kwa dar nishawahi kubanwa nikawakimbilia dalali ila ata wiki sikudumu nae[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nimeoa ndiyo itakuaje?
kwa niniKwa dar nishawahi kubanwa nikawakimbilia dalali ila ata wiki sikudumu nae[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu anakula kwangu bure, matibabu nagharamia. 80 inamtosha sana. Unasuggest walipwe kiasi gani?Dah, ila tuwe fair sometimes. Mtu akae kwako full time, kupiga hizo job then una mpa 80k?
Wakati waajiliwa wakizidisha masaaa mawili tu kazini, kelele nyingi, na kudai over time.
Kwa nia njema tu wazee tuweni fair kwa hawa wenzetu.
Sent using Jamii Forums mobile app