kupata wasichana ni ngumu sana. kama hukupata chuoni basi tena.Huko ulikotembea na waliokuona physically hakuna aliyewahi kuwa interested?
ina maana wewe unavyompenda kimyakimya iceman 3D wa hapa JF inamaanisha huko mtaani kwako hakuna watu ambao wamekuona na kuwa interested na wewe?![emoji1]Huko ulikotembea na waliokuona physically hakuna aliyewahi kuwa interested?
Hivi ni kwa nini unampenda kimyakimya lakini?[emoji1].........Si utangaze tu jamani ili na yeye ajue kuwa anapendwa!🙂.........kwa sababu nina uhakika asilimia mia hata yeye hajui kama anapendwa![emoji30]......but sad news ni kwamba ni mdogo kwako! [emoji24] [emoji24] [emoji24]Iceman 3D njoo uone haya.
OkNaombaa tuwasiliane nipo serious na hili
Asantee kwa ushauriKwa hiyo unaamini huyo msichana utakayempata huko kwao hakuna wanaume? OK kama unatafuta msichana wa kumuoa hamtakawia kuachana kutokana na tabia za wasichana zilivyo! Ila kama kweli una nia ya dhati ya kuoa, nakushauri utafute mwanamke mnaeendana kwenye eneo ulilopo.
Wengi wanakuja humu ni majeruhi wa mapenziHuko ulikotembea na waliokuona physically hakuna aliyewahi kuwa interested?
njoo unioe mimiMimi ni kijana wa umri wa miaka 26
Elimu ni Chuo kikuu.
Nimeajiriwa nipo kikazi Arusha.
Natafuta msichana wa Malengo nae atakae nipenda na nitakaempenda awe mama bora wa familia niwe baba bora wa familia.
Nitampenda maisha yangu yote[emoji8]
umri miaka 20-26 kunijua zaidi anicheki.
Hobbies: Music,Movies,Comedy,Hiking & Drawing, & joke
Food:Wali Samaki,Ugali Samaki,