da kumbe nahumu warembo mnakoma na swaga zangu
kama vipi mi ndo kivile na search search
maisha mukide si unajua miisho ya mwaka show za kufikia
new year nlikuwepo na kachaa wangu ngwea shoo la kufariki mtu
ndo maana kivile nini sijatimba jf
kumbe ulikuwepo unanideki kiaina ee
unaweza uka halaaa nini na ma pm mbona shwanga tu
mmmmhh DJ of coz tunapenda swaga zako...
Hopefully mwaka huu wa 2011 uta archive kila uachokifuatilia...
hahahah lol mi nlikuwa na kucheck tu ....
mmmhhhh
lengo la kwanza kusimamisha lebo yangu
la pili nisambaze kazi za wasanii wa kibongo wahindi wanatuua
la tatu..........mtu wa kuambatana kuelekea on top of my world, interested?
mmmhhh sounds like u have got every thing planned well...
all the best..
na maisha yakianza kukulemea kingia tu JF tuko hapa kuktuliza hahaha lol
mmmhh hapo kwenye red mhh hayo mambo ya chumbani DJ....
nikianza hapa hapa halafu hhahhahahaha lol
hivi kwanini nikiangalia avatar yako nabatasamu?
maisha kunielemea haiwezekani,si ndani ya aka kumi kuanzia sasa
kama bado utakuwepo jf haina shanapa
mmmmhh DJ hapo kwenye red jibu walijua weye...
mmmhh mi ntakuwepo hapa hapa siwezi kimbia JF...
halafu MMU ntamwachia nani hahahahahha lol
ndo mahali napenda kuja ku relax huku lol....
hahahahah lol
sanasana labda nichukue holiday tu...
sasa kama vipi j mosi ntakuwa bills kama vipi ibuka basi
ππ:music::music: kasome PM
Kiongozi,
Nakushukuru sana kwa maswali yako hapo juu. Kiukweli sababu sio kuuga ukapera bali kiukweli nimekubali yale yote yanahusiana ma responsibility ya mwanaume katika ndoa mimi nipo tayari kufanya au kuyatekeleza. Ndio maana nilisema mwanamke ambaye atajua wajibu wake kama MKE, coz mimi natambua kama mwanaume responsibility yangu ni ipi huku nikizingatia kuwa mfumo dume kwa maisha ya sasa hauna nafasi sana katika kujenga familia bora. Kifupi naomba utambue kuwa nipo tayari kama mume na nitafanya yale yote ambayo nitatakiwa nifanye kwa mke au jamii ituunganishayo kama wanafamilia/socialization within two families and taking part into it as I can ! Lakini hata umri wangu nao umenisukuma na kutambua kuwa kwa sasa ni vema tukawa wawili ili tuweze saidiana vema kimaisha katika kujenga familia iliyo bora. Asante.
Huyu jamaa yuko serious. wanaokuzdi umri hutaki? maana wengine tuna umri mkubwa na ndoa tunahitaji. Unasemaje kwa hilo?
picha yako itapatikanaje? unaishi mji gani? aliyesoma kukuzidi poa?