Natafuta msichana wa kuoa ili niachane na maisha ya ukapera

Natafuta msichana wa kuoa ili niachane na maisha ya ukapera

MAELEZO YAKO MAZURI NADHANI UTAPATA ACC TO UR DESIRE AND WISH,USIJALI NGOJA NIKUWEKE KWENYE MAOMBI KAMA NTAONGOZWA NTAKU PM😛ray2:

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwako na wengineo wote! Asante sana!
 
Kama ni Mkristo, nenda kanisani Misa ya saa 3. Mungu atakuonyesha mwenza
 
Kama ni Mkristo, nenda kanisani Misa ya saa 3. Mungu atakuonyesha mwenza

Asante kwa ushauri wako lakini pia utanisaidia sana kama utanifafanulia kwa nini niende misa ya saa 3! Is there anything special in that mass or it is a proper time for those ladies who are single? Nisaidie kufafanua hilo plse mkuu!
 
Kama ni Mkristo, nenda kanisani Misa ya saa 3. Mungu atakuonyesha mwenza
Hii ni ya kisayansi au inatokana na nini?, kwanini isiwe misa ya saa nne au ya saa moja?, au saa tatu ndio kuna singles
 
Wadada wa JF nafasi bado ipo na kama vigezo nilivyoweka mwaona ni vigumu hiyo isijalishe saaana we ni-pm then weka mambo mezani huenda tukafikia muafaka ! Naamini muda sio mrefu naweza mpata mtu ambaye kwa pamoja ndoto zetu zitatimia na ikibidi hata wapendwa wenzetu wa Jf tutawakaribisha! SINGLE LADIES U'RE WARMLY WELCOME!
 
Wadada wa JF nafasi bado ipo na kama vigezo nilivyoweka mwaona ni vigumu hiyo isijalishe saaana we ni-pm then weka mambo mezani huenda tukafikia muafaka ! Naamini muda sio mrefu naweza mpata mtu ambaye kwa pamoja ndoto zetu zitatimia na ikibidi hata wapendwa wenzetu wa Jf tutawakaribisha! SINGLE LADIES U'RE WARMLY WELCOME!

kumbe bado hujapata tu naona mungu kakuumba kwa ajili yangu hebu cheki pm yako basi
 
Wapendwa wadada wa JF,

Kwa heshima na taadhima naomba kuwafahamisha kuwa mimi natafuta msichana ambaye na yeye anatafuta mwanaume ili kuweza kufunga ndoa na kuachana na maisha ya Ukapera. Kumpata mwenza wa kuishi nae ni jambo gumu sana lakini yote huongozwa na mungu. Nimeona nijitokeze hapa JF huenda mungu akanisaidia kumpata mwanamke ambaye huenda mungu akatujalia na kuwa mwili mmoja na hatimaye kujenga familia yenye furaha, amani na upendo.

Mimi nina miaka 32, sijawahi oa coz muda mwingi nilikuwa nahangaika na maisha pamoja na kujipatia elimu ambayo ni msingi bora katika dunia ya leo. Nina elimu ya juu ya chuo kikuu-ndani +nje ya Tanzania, mwajiriwa, dini-mkristo-Rc, kabila -Mtanzania, urefu-168 cm, sio mnene wala sio mwembamba. Natumia kilevi - bia 1 au 2 kupunguza mawazo ya upweke coz am single.

Sifa za mwanamke: Ningependa nimpate mwanamke mwenye sifa zifuatazo: Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 30. Haijalishi-awe mnene au mwembamba poa tu, awe serious kama kweli ana nia ya kuolewa, elimu aanzie kidato cha NNE(FORM 4) hadi masters degree hakuna shida or Phd if possible, sina ubaguzi wa dini coz linajadilika, na pia sina ubaguzi na ukabila ila ni vema awe tu MTANZANIA. Tabia njema ni silaha hivyo ningefurahi kumpata mwanamke ambaye atajua nafasi yake kama MKE.

Kama kuna mwanamke/msichana ambaye anadhani tunaweza kumake life pamoja naomba Ani-PM na hata kama unataka tufahamiane zaidi kabla ya kufanya maamuzi yako pia unaweza ukani-PM! AM MORE THAN SERIOUS, NA WANAWAKE/WASICHANA MNAKARIBISHWA! Thanking you in advance![/QUOTE
ungeweka contact kaka even email ..................................
 
umeshafanikiwa?
ni vizuri kutujulisha coz wengine tulikuweka kwenye maombi.
 
Kila la heri.
Sahivi mnaotafuta wachumba mtubandikie na picha.
Tunaogopa kuingia choo cha watoto.
 
kila heri mkuu, ngoja nirudie tena kum-PM Mod ili aanzishe JF single club forum, nadhani itakuwa bomba zaidi.
 
ninae dada yangu ana sifa zote ulizozitaka lakini ni disabled na anatumia wheel chair. Je utamwoa?
 
Habari yako Ngoswe,ukapotelea wapi tena jamani?.....lol
Natumai,mambo shwari mkuu........:laugh::laugh:
 
Back
Top Bottom