Maana Mungu ndio humpa mtu mke ila hatujui ni wapi kila mtu atakutana na mkewe,mimi namtafuta humu msichana atakayekuwa mama wa watoto wangu.Awe mcha Mungu(Ameokoka),umri 22-26 ,mweupe,asiwe mnene sana,mfupi,elimu ni kuanzia form six na awe tayari kupima HIV pia awe anaishi Dar, nipo serious na msichana yeyote jisikie huru kunitafuta niPM.
Kwa kifupi nina miaka 29,nimeokoka na nampenda sana Mungu wa Mbinguni aliyeniumba,nina elimu ya chuo kikuu(Computer Science and Engineering),mfupi,maji ya kunde,na nimwaminifu sana,kuepusha usumbufu usinitafute kama huna nia ya dhati,karibu.