Natafuta msichana wa kuoa

Natafuta msichana wa kuoa

Mlanje

Senior Member
Joined
May 16, 2013
Posts
141
Reaction score
77
Maana Mungu ndio humpa mtu mke ila hatujui ni wapi kila mtu atakutana na mkewe,mimi namtafuta humu msichana atakayekuwa mama wa watoto wangu.Awe mcha Mungu(Ameokoka),umri 22-26 ,mweupe,asiwe mnene sana,mfupi,elimu ni kuanzia form six na awe tayari kupima HIV pia awe anaishi Dar, nipo serious na msichana yeyote jisikie huru kunitafuta niPM.
Kwa kifupi nina miaka 29,nimeokoka na nampenda sana Mungu wa Mbinguni aliyeniumba,nina elimu ya chuo kikuu(Computer Science and Engineering),mfupi,maji ya kunde,na nimwaminifu sana,kuepusha usumbufu usinitafute kama huna nia ya dhati,karibu.
 
my God this is golden chance!mimi elimu yangu ISNE ila sasa mimi sio mweupe jamanii so namekupoteza jamani.
 
Ndugu yangu, watu hawaoi WASICHANA, wanaoa WANAWAKE

Msichana ni mwanamke ambaye hajakua....

Tafuta Mwanamke wa kuoa, wasichana uwaachie wavulana
 
Back
Top Bottom