MnunulieNunua then nitafute [emoji4]
Magufuli amefungia ajira halafu nimechoka kulima huku kijijini[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ila ulisema una mpango wa kuja dar.... Kumbe hata nauli huna kha.... Ngoja nibaki na hamu zangu
Upo tayari kufanya ushetani nitume nauli?Tuma nauli
Ngoja niuze kilo 100 za ngano hapa nipate nauli.Tafuta nauli uje
Ndio nini weka wazi nielewe.Upo tayari kufanya ushetani nitume nauli?
Ndio mnavyosemaBaki na hamu zako
Kwa hiyo nitume nauli??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]Ndio mnavyosema
Unatuma Sh ngapi?Kwa hiyo nitume nauli??
Endeleeni tu[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]
Milioni moja laki tisa mwayaUnatuma Sh ngapi?
Sasa mkuu unataka nimtumie nauli halafu nije kumwangalia kama picha??!![emoji23] [emoji23] [emoji23]......lazima aje ashughulike kidogo!Mkuu si utachoka sana. Halafu matumizi hayo kwa mwenzio kisa nauli tu,au nauli yako ni ndefu itakayohalalisha hayo yote.