Natafuta msichana wa kutoka nae Christmas

Natafuta msichana wa kutoka nae Christmas

Safari yako ungeielekeza kwenda kumtembelea ndugu yetu [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG] kubana matumizi ya hela yasiyo ya lazma
 
Ila ulisema una mpango wa kuja dar.... Kumbe hata nauli huna kha.... Ngoja nibaki na hamu zangu
Magufuli amefungia ajira halafu nimechoka kulima huku kijijini[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Umeingia jf tarehe 16 dec 2016 na tarehe 17 dec 2016 unatafuta msichana wa ckukuu

Safi sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulia bro... Nimeingia kutafuta msichana
 
Back
Top Bottom