Natafuta msichana wa kutoka nae Christmas

Natafuta msichana wa kutoka nae Christmas

Jamani namimi naomba nitembee na gape kwa kualika warembo watatu waliopo korogwe kula kunywa na usafiri wakurudi juu yangu mengineyo yatakua makubaliano private
 
Natafuta msichana wa kutoka nae Christmas hii! Awe dar, umri miaka 17-27. Asiwe mwanafunzi wa secondary au primary(miaka 30 shida)! Awe na nguo za sikukuu tu...mengine nitacover. [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Chek na Miss Natafuta... Yule huwa always yuko single and available...
 
Kwanza sijaona aliye serious.... Mnadhani natania eeh?
 
Natambua uwepo wako humu ndani ya JF,

Soma tuu maana hamna jinsi asome!

Tumekuwa nae kwenye uhusiano hadi kufikia kutambulishana kwa wazazi, Mungu si athumani akapata ufadhili nchi za wenzetu kusoma huku nyuma akiniacha mjamzito, kitu ambacho alikifurahia sana kwa kuwa age imeenda sana na hakuwa na mtoto, tumewasiliana vizuri nikalea mimba kufika miezi 5 vitimbwi vikaanza ikiwamo kunipa shughuli nzito zilizopelekea mimi kusumbuka sana na ujauzito.

Tulikubaliana aliahidi pia kutuma vitu vya mtoto mapema! Lakini haukuwa hivyo, kuna mzigo aliagiza toka huko kuuzwa hapa Dar, nikaona bora nichukue pesa yake kwa maandalizi ya mtoto kwa kuwa nilishaona zengwe.

Kufikia miezi 7 akakata mawasiliano kabisa hadi nikamsahau, Mungu kanijalia nimejifungua salama sasa anarudi kutaka ita mwanangu! Je nimchukulieje huyu mtu?Huko aliko ana mambo chungu mzima nilipomuuliza hatukuongea na nikaachana nayo, akirejea anakujafunga ndoa na mwanamke mwingine huku akiacha maswali mengi kwa ndugu na jamaa zake, sasa, sioni umuhimu wake kwetu mimi na mwanangu na hata uwajibikaji japo salam tu ni zero.

Nisaidieni mawazo wanajamii.












ok
 
Back
Top Bottom