Natafuta msichana wa kuwa naye karibu!

Natafuta msichana wa kuwa naye karibu!

engineerm

Senior Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
106
Reaction score
19
[h=2][/h]
Wakuu wa jf,mimi ni mwanaume miaka 30,niko masomoni nje ya nchi nategemea kurudi Tz by june this year ,natafuta msichana ili tuanze mawasiliano saizi ili nikifika tumalizie tu taratibu za mwisho.sifa za msichana
1.Awe na elimu kuanzia form six.
2.Dini sibagui ijapo mimi ni mkristo
3.Awe Mcha Mungu sana maana mimi ni mcha Mungu pia mpole sana
4.Awe na miaka kuanzia 23 hadi 28.
5.Awe haja zaa mtoto wala hajawahi olewa.
Mwenye sifa hizi please ni-PM ili mawasiliano yaanze yaani niko very serious.
 
Bora urudi kijiji kwenu kuliko hawa wa kukutana mtandaoni.
 
ujue mkuu naona kama nimechelewa sana kuoa kwa miaka hiyo
Bado hujachelewa, usifanye papara na kujikuta umeangukia kwa mwanamke ndie, sie. Kweli mapenzi ya mtandaoni chunga sana kama kweli uko serious!
 
duh, hizi gia mbili (yaani 'nje ya nchi' na 'kuwowa') samaki hapiti chambo aisee; anyway ngoja tusikilizie reaction ya wenyewe humu ndani...
 
Bora urudi kijiji kwenu kuliko hawa wa kukutana mtandaoni.

According to Pinal code No 301, Cap 629, Bill R/FB, Chapter "Market ignorance or abuse" kufuatia vifungu hivyo vyaweza kukutia hatiani kwa kutishia kuvuruga soko la walengwa! Kwani waweza kuwakosesha kwenda nje ya Nchi hivihivi.
 
kwa mwanaume umri wako,haujachelewa usiwe na haraka...ukazoa visivyozolewa bure....

second pitia jukwaa la love conect kule kuna wadada wamerusha threads za kutafuta mume,ungeanza kuwa PM hao kwa kuanzia.
 
Akuu! Mke mwenza mie kule pamenishinda bana....wacha nimsubirie mgeni toka nje ya nchi hapa...

Uko wapi sikuoni Sweetlady? mi niko hapa na roses za kufa mtu namsubiri pia....chezea watu ya nje ya nchi wewe.....😛hoto:
 
According to Pinal code No 301, Cap 629, Bill R/FB, Chapter "Market ignorance or abuse" kufuatia vifungu hivyo vyaweza kukutia hatiani kwa kutishia kuvuruga soko la walengwa! Kwani waweza kuwakosesha kwenda nje ya Nchi hivihivi.

Nyie majaji muende kule kwenye jukwaa lenu aisee, mnatutisha sasa na mapinal code yenu kwakweli! Khaa........ mi hadi nimeogopa hata kujitosa mwishowe niambiwe vifungu vya sheria haviruhusu!!! LOL
 
Nyie majaji muende kule kwenye jukwaa lenu aisee, mnatutisha sasa na mapinal code yenu kwakweli! Khaa........ mi hadi nimeogopa hata kujitosa mwishowe niambiwe vifungu vya sheria haviruhusu!!! LOL

Jitoe muhanga Kipipi, liwalo na liwe..lol
 
kwa mwanaume umri wako,haujachelewa usiwe na haraka...ukazoa visivyozolewa bure....

second pitia jukwaa la love conect kule kuna wadada wamerusha threads za kutafuta mume,ungeanza kuwa PM hao kwa kuanzia.

jukwaa la love connect ndio jukwaa gani hilo?
 
Nyie majaji muende kule kwenye jukwaa lenu aisee, mnatutisha sasa na mapinal code yenu kwakweli! Khaa........ mi hadi nimeogopa hata kujitosa mwishowe niambiwe vifungu vya sheria haviruhusu!!! LOL

Usiogope ntavifuta! Au tema mate nivipige !
 
Mbona nje huko kuna madada wazuri sana wameiva sana na hali ya hewa ya huko,vp au domo zege? Oa huko huko mwana.
 
Back
Top Bottom