Natafuta msichana wa kuwa naye karibu!

Natafuta msichana wa kuwa naye karibu!

Miaka 30 mwanamme hujachelewa. Pia ndoa siyo kitu cha fasta kama unavyofikiria iwe, kwani unahitaji kumfahamu vema utakayekuwa naye for the rest of your life. Pia nina mashaka kuhusu kusali kwako sana. Haiwezi kuwa rahisi kwa mtu wa imani sana tena ktk ukristo akafungishwa nira na.........................; labda huo uchaji wako pia una mushkeli. Kwani with time utakuja uone hiyo ndoa ilivyo chungu na hakika utajuta kuwa kwenye hiyo ndoa.

ushauri wangu: Kuwa mtulivu na jaribu njia zote unazoweza na kumtanguliza mungu ili akupe mke mzuri na si kuwa na haraka kama unavyotaka. kumbuka ndoa si majaribio. Kwa umri wako wewe bado unachukua binti wa 18+ mpaka 31, wala hakuna shida; kwani wanaume wanauwezo wa kuzaa hadi miaka 50+, japo kwa mwanamke 35+ sometimes kuna matatizo kama hakuwahi kupata uzao kabla ya hapo na huo ndiyo ukawa uzao wake wa kwanza.
 
mkuu naona umeandika toka rohoni kabisa nitaufanyia kazi ushauri wako.

Rudi nyumbani kwanza, tafuta ajira halafu nitafute
 
Back
Top Bottom