Bado hujachelewa, usifanye papara na kujikuta umeangukia kwa mwanamke ndie, sie. Kweli mapenzi ya mtandaoni chunga sana kama kweli uko serious!ujue mkuu naona kama nimechelewa sana kuoa kwa miaka hiyo
Akuu! Mke mwenza mie kule pamenishinda bana....wacha nimsubirie mgeni toka nje ya nchi hapa...Lol! Mke mwenza unaitwa kule kwa magreti sinka.
Bora urudi kijiji kwenu kuliko hawa wa kukutana mtandaoni.
Akuu! Mke mwenza mie kule pamenishinda bana....wacha nimsubirie mgeni toka nje ya nchi hapa...
According to Pinal code No 301, Cap 629, Bill R/FB, Chapter "Market ignorance or abuse" kufuatia vifungu hivyo vyaweza kukutia hatiani kwa kutishia kuvuruga soko la walengwa! Kwani waweza kuwakosesha kwenda nje ya Nchi hivihivi.
Nyie majaji muende kule kwenye jukwaa lenu aisee, mnatutisha sasa na mapinal code yenu kwakweli! Khaa........ mi hadi nimeogopa hata kujitosa mwishowe niambiwe vifungu vya sheria haviruhusu!!! LOL
Jitoe muhanga Kipipi, liwalo na liwe..lol
kwa mwanaume umri wako,haujachelewa usiwe na haraka...ukazoa visivyozolewa bure....
second pitia jukwaa la love conect kule kuna wadada wamerusha threads za kutafuta mume,ungeanza kuwa PM hao kwa kuanzia.