Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Nov 13, 2011 #21 Kila la heri, ukikosa hapa kajaribu na fb.
zakiyah JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 307 Reaction score 139 Nov 13, 2011 #22 mzabzab said: wewe engineer.....hapa kaka naona itabidi kwanza nikushauri utlizane. haya mambo ya long distance u are setting urself up for disapointment. sasa tulizana maliza masomo yako alafu ukirudi bongo ndio utafute..... Click to expand... jamani mbona hivyo? watu tuna sifa hizo mpaka za ziada unamwambia mpaka akirudi unafikiri june ni mbali? mwaya mr.engineer kazi kwako usikate tamaa.
mzabzab said: wewe engineer.....hapa kaka naona itabidi kwanza nikushauri utlizane. haya mambo ya long distance u are setting urself up for disapointment. sasa tulizana maliza masomo yako alafu ukirudi bongo ndio utafute..... Click to expand... jamani mbona hivyo? watu tuna sifa hizo mpaka za ziada unamwambia mpaka akirudi unafikiri june ni mbali? mwaya mr.engineer kazi kwako usikate tamaa.
engineerm Senior Member Joined Aug 30, 2011 Posts 106 Reaction score 19 Nov 13, 2011 Thread starter #23 zakiyah uko seriuos un sifa niku-PM? au unatania tu,Mi niko serious ujue! zakiyah said: jamani mbona hivyo? watu tuna sifa hizo mpaka za ziada unamwambia mpaka akirudi unafikiri june ni mbali? mwaya mr.engineer kazi kwako usikate tamaa. Click to expand...
zakiyah uko seriuos un sifa niku-PM? au unatania tu,Mi niko serious ujue! zakiyah said: jamani mbona hivyo? watu tuna sifa hizo mpaka za ziada unamwambia mpaka akirudi unafikiri june ni mbali? mwaya mr.engineer kazi kwako usikate tamaa. Click to expand...
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Nov 14, 2011 #24 dahh! kweli utandawazi umerahisisha mambo! kila lakheri!
florence JF-Expert Member Joined Mar 5, 2011 Posts 423 Reaction score 163 Nov 14, 2011 #25 Unachelewa? 29yrs? mambo haya hayahitaji papara otherwise ur up to frustration men.