Natafuta msichana wa maisha!

Natafuta msichana wa maisha!

wewe engineer.....hapa kaka naona itabidi kwanza nikushauri utlizane. haya mambo ya long distance u are setting urself up for disapointment. sasa tulizana maliza masomo yako alafu ukirudi bongo ndio utafute.....

jamani mbona hivyo? watu tuna sifa hizo mpaka za ziada unamwambia mpaka akirudi unafikiri june ni mbali? mwaya mr.engineer kazi kwako usikate tamaa.
 
zakiyah uko seriuos un sifa niku-PM? au unatania tu,Mi niko serious ujue!
jamani mbona hivyo? watu tuna sifa hizo mpaka za ziada unamwambia mpaka akirudi unafikiri june ni mbali? mwaya mr.engineer kazi kwako usikate tamaa.
 
dahh! kweli utandawazi umerahisisha mambo! kila lakheri!
 
Unachelewa? 29yrs? mambo haya hayahitaji papara otherwise ur up to frustration men.
 
Back
Top Bottom