Natafuta msichana wa maisha!

Natafuta msichana wa maisha!

engineerm

Senior Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
106
Reaction score
19
Wakuu wa jf,mimi ni mwanaume miaka 29,niko masomoni nje ya nchi nategemea kurudi Tz mwakani by june,natafuta mweza wa maisha ili tuanze mawasiliano saizi ili nikifika tumalizie tu taratibu za kindoa.sifa za msichana
1.Awe na elimu kuanzia form six.
2.Dini sibagui ijapo mimi ni mkristo
3.Awe Mcha Mungu sana maana mimi ni mcha Mungu pia mpole sana
4.Awe na miaka kuanzia 23 hadi 28.
5.Awe haja zaa mtoto wala hajawahi olewa.
Mwenye sifa hizi please ni-PM ili mawasiliano yaanze yaani niko very serious kwa hili.
 
mhh haya, kila la heri kwenye utafutaji wako. Mungu akupatie hitaji la moyo wako japo hujaspecify physical appearance aweje!! ukipata pia urudi utujulishe kaka.
 
Nashukuru kwa wishes zako,pysicaa appearance awe mweupe kidogo(maji yakunde)
mhh haya, kila la heri kwenye utafutaji wako. Mungu akupatie hitaji la moyo wako japo hujaspecify physical appearance aweje!! ukipata pia urudi utujulishe kaka.
 
Hujasema vigezo ulivyonavyo na ww pia. Ama unahisi wadada hawana vigezo wanavyohitaji?
 
Kwahiyo Kipipi unanimwaga?Mambo gani tena haya?Mi najidhuru!!!
 
Kwahiyo Kipipi unanimwaga?Mambo gani tena haya?Mi najidhuru!!!

Jamani Eiyer, mbona sasa we umechelewa dear? Kwanini lakini hukusema mapema? Niahidi basi nimkache huyu mr. Engeneer......lol!!
 
kila la kheri!!!! ila ujue sio kirahisi kama unavyofikiri ....kazi ipo
 
wewe engineer.....hapa kaka naona itabidi kwanza nikushauri utlizane. haya mambo ya long distance u are setting urself up for disapointment. sasa tulizana maliza masomo yako alafu ukirudi bongo ndio utafute.....
 
Mpige chini huyo,hajui kitu njo kwangu nikupe raha duniani,nina zawadi spesheli ambayo utakua nayo wewe tu!
 
Nao ni ushauri mzuri sana mkuu asante,ila nilikuwa naona kama nachelewa vile kuoa.

Back
Top Bottom