Natafuta msichana wa malengo katika maisha!

kaka9

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
280
Reaction score
113
Habari wakuu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta msichana ambae ni mpweke na mwenye upendo wa kweli anayetafuta utulivu wa nafsi na mwenye tabia ya kupendeza, hofu ya Mungu na mvumilivu, elimu angalau kidato cha nne na kuendelea hata kama hana kazi hamna shida namhakikishia atapata kazi kwa sababu uwezo wa kumsaidia kwenye hilo upo.

Nahitaji msichana wa maisha ambae Mungu akibariki baadae awe mke wangu, umri kuanzia 18-25, angalizo mimi sio tajiri wa mali bali nitajiri wa upendo, kama yupo mwenye shida na upendo namkaribisha katika dunia yangu.

Naomba ani pm.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Errr tajiri wa upendo!!
Utasubiria sana..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Aya sasa wale wale wasichana waliokuwa wanaotafuta mchumba fulsa hiyo hapo jamaa hana vigezo vgumu

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wabatafuta matajir wa pesa sio upendo ndugu
 
Vipi haujapata tu?

Leta mrejesho nami kesho niweke uzi wangu
 
Ukipata uutuambie

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Samahani naomba nitoke nje kidogo niulize swali hapa...kama jamaa hapa anatafuta mtu tukikaa siku kadhaaa utaona tena kun mwanamke anakuja anatafuta mtu sasa hua hawawaoni hawa jamaa wanaotafuta au vigezo wanakua hawajatimiza?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
ngoja waje
Atakuja tu huyo malkia wa upendo namsubiri kwa shauku kubwa na hamasa ya kumtunza,kumlinda kwa nguvu zangu zote.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mkuu legeza masharti hayo kias kha! ndukiiiiiiiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…