kaka9
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 280
- 113
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta msichana ambae ni mpweke na mwenye upendo wa kweli anayetafuta utulivu wa nafsi na mwenye tabia ya kupendeza, hofu ya Mungu na mvumilivu, elimu angalau kidato cha nne na kuendelea hata kama hana kazi hamna shida namhakikishia atapata kazi kwa sababu uwezo wa kumsaidia kwenye hilo upo.
Nahitaji msichana wa maisha ambae Mungu akibariki baadae awe mke wangu, umri kuanzia 18-25, angalizo mimi sio tajiri wa mali bali nitajiri wa upendo, kama yupo mwenye shida na upendo namkaribisha katika dunia yangu.
Naomba ani pm.
Post sent using JamiiForums mobile app