natafuta msichana wa uchumba hadi ndoa

natafuta msichana wa uchumba hadi ndoa

Joined
Aug 2, 2012
Posts
10
Reaction score
8
habari,naitwa saidi natafuta msichana wa uchumba hadi ndoa miaka kuanzia 21 hadi 24 awe na elimu ya form 4 na kuendelea awe na urefu wa kawaida maji ya kunde au mweupe muislamu......mimi nina degree nina miaka 26 muislamu pia mrefu mweusi...anicheki kwenye mail michaeljohn24@yahoo.com
 
Back
Top Bottom