Natafuta msichana yeyote aliyeko Dodoma na yuko tayari, ili nimvishe pete

Natafuta msichana yeyote aliyeko Dodoma na yuko tayari, ili nimvishe pete

Na huyo mwingine unayemtafuta akichepuka je utafanyaje?

Unaweza kukaa milele usimpate wa kumuoa,chagua chagua sana nazi mwisho utapata koroma.

Hawa wadudu daaah,ndio maana wengine wanaahirisha kuoa ingawaje perfect match yako ipo sema unatakiwa kutafita taratibu sio kwa haraka.
 
Back
Top Bottom