Hadi sasa waliokuja inbox niwatatu tu, nao wako mikoa ya mbali. Dodoma jamani nawaombeni msiniangushe nateseka mwenzenu.
Kinadada muoneeni huruma huyu ndugu, amejileza kwa huruma sana.
Habari yako Demiss, ngoja tu ila nifumbe macho maana nilisoma ile stroy yako kule kwenye uzi wa waliokula na kuliwa kimasihara. Kah
Umesharudi Dodoma? naomba tuonane pmNioe ili watu wa jf wajue kama na mm nafaa kuwa mke wa mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yako Demiss, ngoja tu ila nifumbe macho maana nilisoma ile stroy yako kule kwenye uzi wa waliokula na kuliwa kimasihara. Kah
Umesharudi Dodoma? naomba tuonane pm
Sijui kama unaweza jirekebisha wewe Demiss.Hahahahahah kudadeki nimekosa mme[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona eeeKinadada muoneeni huruma huyu ndugu, amejileza kwa huruma sana.
Ma porn star wana wachumba wanaolewa kama kawaida sembuse kuchapiwa