Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

Mkuu shukrani. Ila nilishajaribu kufanya hii manifestation mpaka kuandika michoro. Sasa ukimwambia mtu una kazi na hauna utapataje msaada?
 
Bro unataka ajira au unataka pesa...? Ungekua specific nijue nakushauri uende kwa yupi
Mimi nahitaji rizki hata kama sio ya kupitia kuajiriwa. Ila naona ajira ni sustainable zaidi sababu mimi nategemea zaidi ujuzi na knowledge ya kazi.
 
Hili siwezi kuamini hata siku moja. Hakuna uhusiano wa wewe kupata kazi na mganga. Uliamini hivyo lakini siyo yeye alisababisha upate kazi.
Kama hayajakukuta huwez kuyajua
Hakuna binadam asie na iman
Kwann watu wanafanyiwa DUA?
Kwann watu wanaombewa ?
kama unamajibu ya hapo, basi jua binadam kukufanyia ubaya wewe ni dakika sifuri .
Na kama ww unaamini ushirikna upo basi sio wa usiku tu, mpka kwenye biashara upo!
Mtu kukwambia niliend kutatuliwa shida za kimwili na mganga ni sawa
(sisi watu wa iman ya islam tunaambia twende kwenye tiba za Kisunna)
Ndugu zako, baba yako, mke wako, rafiki yako na hata wasiopend wq utoboe kuwazid wanawez cheza karta dume ww ukashindwa kutoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…