Natafuta mtaalam wa kurudisha email iliyosahaulika password

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
332
Reaction score
549
habar ndugu zangu

natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili.

kibaya zaidi namba ya pili haipo hewani ilipotea kitambo.

yupo anayeweza hili ani pm

shukrani.
 
nipatie email ysko na namba ulizoweka
 
Hata darasa la Saba Kama Mimi hapa naliweza, ukute hapo una degree🤪🤪🤪
usinibeze mkuu kusoma sana si kwamba utajua kila kitu,ungenisaidia maelekezo ungepata thawabu nying kwa Mungu wako kuliko kunibeza.karibu
 
Hata darasa la Saba Kama Mimi hapa naliweza, ukute hapo una degree[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Amesahau password ya g-mail account na anahitaji kuitumia tena...

1. Hana namba ya simu aliyo tumia kusajili hiyo account na nilazima security code itumwe kupitia namba hiyo ambayo haipo hewani.

2. Hakuweka recovery account ambayo ingetumika kupokea security code ili aweze ku reset password.

Msaidie kutokea hapo na sio kumbeza, utaalamu unamwisho.
 
Fact
 
habar ndugu zangu

natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili.

kibaya zaidi namba ya pili haipo hewani ilipotea kitambo.

yupo anayeweza hili ani pm

shukrani.
Ulifanikiwa au bado? Mana nilikuomba unitumie email na namba lakini hukufanya hivyo
 
habar ndugu zangu

natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili.

kibaya zaidi namba ya pili haipo hewani ilipotea kitambo.

yupo anayeweza hili ani pm

shukrani.
Nipo apa mheshimiwa namba zangu yangu ya simu 0628846579
 
Back
Top Bottom