Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Acha upuuzi kwenye masuala seriousUna kiasi gani mimi ninaroboti linaitwa Zumaridi Kerubi ili linameza kila kitu mpaka broker atakufukuza maana utampiga matukio kila siku karibu sana.
Sio indicator, price actionmkubwa hilo roboti unataka liongozwe na nini
kama ni hizi indicators za kawaida kama SMA nk unaweza ukatengeneza kwa msaada wa website fulani fulani free of charge
halafu nikwambie kitu forex inaongozwa zaidi na sentiment analysis hayo machart & maindicator ni hereni za kidigital
Mkuu vipi, mbona kimya pmKama ukitaka hta clone ya nas100 ghost robot tunapiga kazi
Kaka ilo robot either ulilipie ulitengeneze au ununue njia zote amna kitu utapata kutoka kwa robots. Labda ufund cent account utie robot uko amna kitu.Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) hata kwa malipo
Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha kwenye demo account ikileta faida basi unaiweka kwenye live account, ikileta hasara unaibadilisha na kuijaribu teha
Ku trade manually kuna changamoto ya emotions ambayo kwenye robot inakuwa haipo
Nimekucheki kiongoziKaka ilo robot either ulilipie ulitengeneze au ununue njia zote amna kitu utapata kutoka kwa robots. Labda ufund cent account utie robot uko amna kitu.
My dm is opened ukitaka kunisikiliza.