Natafuta mtaalam wa MQL anifundishe kutengeneza system hii

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) kwa kutumia MQL script language hata kwa malipo

Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha kwenye demo account ikileta faida basi unaiweka kwenye live account, ikileta hasara unaibadilisha na kuijaribu teha

Ku trade manually kuna changamoto ya emotions ambayo kwenye robot inakuwa haipo
 
Watafute technobest watakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…