Natafuta mtaalamu wa IT mbobezi nataka tufanye kazi

Spicegal

Member
Joined
Dec 12, 2022
Posts
26
Reaction score
96
Awe kijana na mwenye uwezo mkubwa wa kutumia Computer anicheck DM tufanye kazi maana nimepewa kazi halafu sijampata mpka sasa mtaalamu
 
Awe kijana na mwenye uwezo mkubwa wa kutumia Computer anicheck DM tufanye kazi maana nimepewa kazi halafu sijampata mpka sasa mtaalamu
Njoo DM useme wataka mtaalamu wa nini
 
Ungeeleza vizuri ni kazi Gani au mtaalamu wa Nini maana IT ni pana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…