Pole sana. Km amejirudi nawe rudi anzeni upya na km wakati ana run huko nje na wewe ulijipatia m2 wa kukusitiri bs lazma umuone km kakako so acha ya nje focus kwake kwa sasa kwa kupiga moyo konde na anza kufikiria yaliyo mazuri toka kwake, achana na huyo anaekufanya umuone si ki2 then anza kumuangalia kivingne. Jikaze cku moja akija toka either job, mkumbatie, mkiss, ongea nae vizuri kwa adabu, kuleni pamoja then ogeni pamoja km mazingira yanaruhusu then nenda kamuonyeshe ufundi wako kitandani ukimaliza hayo mweleze how much u love him na jinsi anavyokutesa. Mwambie pamoja na yote yaliyotokea ucku huo uwe ndio mwanzo mpya wa pendo lenu, i knw atarepent, nawe umsamehe na utakuwa huru ktk nafsi yako. Unajua Wanaume ni watu ambao wakioneshwa pendo kidogo tu hubadilika sana so kwa vile ameanza kuchange ukifanya na hayo bs atakuwa gud boy daima. Gv him chance and gv urself chance too cuz i knw u hv sm feelings toward him though its little make it to grow! Km wewe ni Mkristo, unajua ukishaolewa bs ukiachana nae ndio mwisho wa kuolewa then kwa nini umwache uliemzoea na kwenda kuanzisha mahusiano mapya yasiyo na u2kufu? Mpe nafasi, mpende, na mheshimu, ji2nze na anza kumwangalia kwa jicho zuri, mambo yatakuwa ok. AMINI NOBODY CAN MAKE U BAD, MAD, SAD OR GLAD BT WE CHOOSE WHAT TO BE SO ITS UR CHOICE TO LOVE OR REJECTING HIM.