Wewe unahitaji MailChimp Templet- content zako zinahusiana na nini? So nijue aina ya Templet kwanzaWandugu habarini za majukumu.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, nataka mtaalamu tajwa. Connent nitaziandika mwenyewe, yeye kazi yake ni kui-design kwenye MailChimp na kushare na mimi.
NB: Tayari nsha-create account ya MailChimp.
Kama unaweza kuifanya/ unamjua mtu anayeweza hii kazi karibu PM.
Zinahusiana na Academic Programmes na Institutional events in general.....Wewe unahitaji MailChimp Templet- content zako zinahusiana na nini? So nijue aina ya Templet kwanza
Sawa nnaweza kukufanyia - offer yako?Zinahusiana na Academic Programmes na Institutional events in general.....
Nipe namba zako PM nikupigie...Sawa nnaweza kukufanyia - offer yako?