Wandugu habarini za majukumu.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, nataka mtaalamu tajwa. Connent nitaziandika mwenyewe, yeye kazi yake ni kui-design kwenye MailChimp na kushare na mimi.
NB: Tayari nsha-create account ya MailChimp.
Kama unaweza kuifanya/ unamjua mtu anayeweza hii kazi karibu PM.