Natafuta mtaji wa biashara ili nijiajiri.mi ni msichana kwa sasa nafanya kazi ya kuuza duka,natoa huduma ya mpesa,tpesa ,vocha za jumla na pia napiga passport size.kinachonikatisha tamaa hela ninayolipwa ni ndogo sina cha maana ninachofanya nina mwaka wa saba sasa.natamani kufungua biashara tatizo pesa.kama ningepata pesa ningeanzisha mpesa,tpesa ,aitermoney na vocha za jumla na kupiga passportsize.kwa uzoefu wangu ndani ya mwezi siwezi kukosa laki 6 kwa kadirio la chini .aliyetayari kunisaidia kwa njia yeyote tuwasiliane