Natafuta mtaji wa biashara.

Natafuta mtaji wa biashara.

UMULKHEIR

Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Natafuta mtaji wa biashara ili nijiajiri.mi ni msichana kwa sasa nafanya kazi ya kuuza duka,natoa huduma ya mpesa,tpesa ,vocha za jumla na pia napiga passport size.kinachonikatisha tamaa hela ninayolipwa ni ndogo sina cha maana ninachofanya nina mwaka wa saba sasa.natamani kufungua biashara tatizo pesa.kama ningepata pesa ningeanzisha mpesa,tpesa ,aitermoney na vocha za jumla na kupiga passportsize.kwa uzoefu wangu ndani ya mwezi siwezi kukosa laki 6 kwa kadirio la chini .aliyetayari kunisaidia kwa njia yeyote tuwasiliane
 
Hongera dada kwa kujitambua,una elimu ya kiwango gani? Unapatikana mkoa gani? Wewe unataka ulipwe sh ngapi?
 
ulipo sema wewe ni mdada..bhasiiiiii utakumbana na vikwazo vingi ktk kuomba kwako msaada ...i hope utakabiliana navyo vyema WISH U OL DA BEST
 
Back
Top Bottom