Natafuta mtoto wa kike mwenye sifa zifuatazo..

Natafuta mtoto wa kike mwenye sifa zifuatazo..

mfuaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
203
Reaction score
259
Natafuta mtoto wa kike mwenye sifa zifuatazo:

Asiwe na urefu wa zaidi ya futi 6 au chini ya futi nee.

Awe na rangi ya maji ya kinda, hata akiwa mweupe hakuna yaani.
Asiwe na zaidi ya miaka 25.

Awe na na umbo lisilolofautiana sana na lile la myigu.
Mwisho awe anafaa kuwa mke.

Ukiona andiko hili usisite kuniunganisha na huyo msichana awe dada yako, mtoto wako utakuwa umefanya la maana mno.

Kumbukeni Mimi ni mtu na nusu.
 
Back
Top Bottom