Natafuta Mtoto wa kiume

oko majimaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
2,079
Habari zenu Ndugu!

Mimi ni kijana mwenzenu nina mtoto wa kike tayari sasa hivi nahitaji mtoto wa kiume. Je, ni taratibu gani naweza kuzifanya ili kupata mtoto wa kiume kupitia mzunguko wa siku za mke wangu.

NB: Lengo langu ni kuwa na watoto wawili tu Me &Ke
 
Taratibu za kupata mtoto wa kiume zinafanana kabisa na taratibu za kupata mtoto wa kike... Jinsia is the matter of chance kwamba Muumba anaamua aumbe jinsia gani...
 
habari zenu ndg..
mim ni kijana mwenzenu nina mtoto wa kike tayar sasa iv nahitaji mtoto wa kiume je ni taratibu gan naweza kuzifanya ili kupata mtoto wa kiume kupitia mzunguko wa siku za mke wangu.

NB: lengo langu ni kuwa na watoto wawili tu me &ke
Hilo liko nje ya uwezo wa binadamu... Ongea na Mungu kupitia sala na maombi utafanikiwa.
 
Ww ni m2 mzma hvyo use unaanzisha threads zinazoreflect utu uzma wako, au unaona sifa, au unadhani watoto wanapatkana kwa mipango ya kibinadamu 2?? Hebu jiongeze mwnyw
kuna taratibu za kitabibu ww km hufaham kaa kimya
 
Au kama vepe tubadilishane.... Nikupe wangu wa kiume wewe unipe wako wa kike.... Taskari vizuri kisha njoo na jibu sahihi.
 
nackia kuna taratibu unaweza kuzifata na ukafanikiwa
Oko, dawa ya maji maji, jina lako limenikumbusha mbali sana... Yeah, kuna watu wanajitahidi kwa kubalance days. Inasemekana kuwa mbegu za mtoto wa kike za XX zina uwezo wa kuishi kwenye mji wa mimba wa mwanamke kwa masaa 24 tu ihali mbegu za mtoto wa kiume za XY zina uwezo wa kuishi hadi masaa 72 ndani ya mji wa mimba wa mwanamke.
Kwa hiyo kama mwanamke yai linategemewa kupevuka siku mbili hadi tatu baadaye, ukijamiiana leo, baada ya masaa 24 mbegu za XX zitakuwa zimefariki na kwenye mji wa mimba zitabaki mbegu za XY. So by the time yai linapevuka na kushuka kutoka kwenye ovary kuja kwenye mji wa mimba, litakutana na mbegu za XY na hapo ndipo kunapokuwa na uwezekano wa mtoto wa kiume kutungwa...
 
ngoja madakitari waje... lakini ni kweli kwenye mzungungo wa hedhi wa mwanamke kuna siku ukimfumua unapata dume
 
Umeeleza kinyume
 
thanx mkuu kw information zako ntazifanyia kaz..
 
thanx mkuu kw information zako ntazifanyia kaz..
hakuna kitu kama hiyo mwenyezmungu ndo mwenye kukupangia upate wa kike au wa kiume cha msingi ni kuomba mungu tu akupe watoto wenye kheir na wewe wapate kukusaidia mbeleni unaweza pata wa kiume asikusaidie chochote na wa kike ndo akakuokoa hayo yote ni mipango ya mungu muombe mungu wako akuwezeshe kupata mtoto mwenye kheir nawewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…