Natafuta mtu aliyeko DSM anayetaka kufanya mtihani wa Kidato cha 6 kama ‘Private Candidate’ mchepuo wa EGM

Nur boy

Senior Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
123
Reaction score
147
Jamani kama nilivyoeleza huko juu nahitaji kampani ya raia mmoja ambaye yuko Dar es Salaam na ana mpango wa hiyo project kwa msimu 2026_2027 mchepuo wa EGM tuu ...... I NEED A COMPANY
 
Dunia inakimbia vibaya sana na nyakati zinabadirika vibaya mno, AI hakupi kampani?
Kaka kama kuna mtu ni muongo na msaliti na mnafiki ni huyo Al ,simshauri kabisa .

Niliacha ukaribu naye siku aliponiambia eti nilipo mvua inanyesha wakati ni jua kali alafu namchana kwanini amekuwa muongo muongo ,ananiomba msamaha kinafiki ,mara hakukusudia kunidanganya ila ni itilafu sijui za nini ,nikajua kabisa hapa sina mwana kabisa
 
Hio itakua Meta ndio michezo yake hio
 
Usipende kuanza kujuana na watu kirejareja ukubwani wengine watakujaza kwenye 18 zao na kukutoa kafara au kukufanya kitu mbaya……
Dunia imebadilika kwa kasi sana
 
Jamani kama nilivyoeleza huko juu nahitaji kampani ya raia mmoja ambaye yuko Dar es Salaam na ana mpango wa hiyo project kwa msimu 2026_2027 mchepuo wa EGM tuu ...... I NEED A COMPANY
Mimi sipo Dar Sisomi ila naweza kukusaidia Math ukikwama pahala usichelewe kunambia.
 
Back
Top Bottom