Gadget_accessories_tz
Member
- Aug 15, 2021
- 11
- 16
Kama kichwa Cha habari kisemavyo Kuna projects nafanya inahusika na biological database, natafuta mtu aliyesoma computer science na anakaa Dar asiwe na kazi sababu mda mwingi atakua kwenye hii project
Vigezo
Awe amemaliza chuo mwaka jana
Awe na uwezo wa kufanya presentation bila uoga au kutetemeka
Awe na degree ya computer science
Vigezo
Awe amemaliza chuo mwaka jana
Awe na uwezo wa kufanya presentation bila uoga au kutetemeka
Awe na degree ya computer science